• MSAMVU BUS TERMINAL
    Morogoro

ABOOD BUS (King of the Road)

Basi letu linafanya safari za kila siku katika maeneo tofauti nchini. Tuna basi za mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Mwanza, Singida, Iringa, Arusha, Kigoma na Sumbawanga. Hivi karibuni tutafungua route ya Lindi- Mtwara- Songea.

Kuhusu booking na mm=aswali mengine piga +255 625 528326 kwa maelekezo zaidi.