• MSAMVU BUS TERMINAL
    Morogoro

Maelezo yake yanakuja

Bado tunaendelea kuingiza maelezo kuhusu basi hili. Maelezo ya kina kama vile ofisi zilipo, makao makuu ya basi, mawasiliano na zinginezo tutakuletea hivi karibuni.

Kuhusu Booking ya basi lolote, tuandikie kwa kufata maelekezo hapa chini au piga simu moja kwa moja +255 625 528326

Maswali ya mara kwa mara

Tunajua utakuwa na maswali mengi ambayo ungependa kutuuliza. Baadhi ya maswali tumayajibu katika vipengele vifuatavyo hapa chini. Kama utakuwa na mswali ya ziada tuandikie kupitie fomu ya mawasiliano inayopatikana hapa

Unaweza pia kutuandikia ujumbe wako kwa barua pepe at info@tiketiyangu.com

Au piga simu +255 625 528326 kwa maswali na maoni.

Tiketi Yangu Travel Agency au kwa kiswahili Wakala wa usafirishaji wa Tiketi Yangu

Ni wakala wa usafirishaji mikoa yote ya Tanzania, Kenya na Uganda.

Unaweza kutuandikia baria pepe kupitia info@tiketiyangu.com

Unaweza pia kutuandikia ujumbe mfupi kupitia ukurasa wetu wa Facebook

kwa walioko Tanania unaweza kufika Makao Makuu katika kituo cha mabasi Msamvu Morogoro au piga simu +255 625 528326

Ndio. Kazi yetu ni kuuzia tiketi kwa makampuni ya mabasi tunayofanya nao kazi. Lakini pia tutakutafutia tiketi ya basi lolote hata yale ambayo hatujaanza kufanya nao kazi. Kwa makampuni ambayo bado hatujaanza kufanya nayo kazi tutakupa taarifa za namna unavyoweka kununua tiketi na kama siti zinapatikana au zimeisha

Ndio. Kwa sasa unaweza kufanya booking kwa kutembelea fomu ya mawasiliano inayopatikana hapa

Tuandikie ungependa kusafiri lini na kwa basi gani. Tutakutafutia usafiri na tutakupigia kukupa majibu ndani ya dakika 5.

Siku chache zijazo utaweza kufanya booking moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi. hutokuwa na haja ya kuwasiliana nasi.

Ndio. Tunapatikana facebook kupitia ukurasa unaoitwa TIKETI YANGU TRAVEL AGENCY. Bonyeza HAPA kutembelea