Karibu TIKETI YANGU TRAVEL AGENCY. TiketiYangu ni wakala wa usafirishaji Afrika Mashariki. Kupitia TiketiYangu utaweza kufanya yafuatayo:

1) Ku-book na Kununua tiketi kwa safari za mikoa mbalimbali kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda
2) Kusafirisha mizigo mbalimbali kutoa mkoa mmoja kwenda mwengine
3) Kukodi gari kwa safari za ndani ya mkoa
4) Tutakutembeza maeneo mbalimbali nchini kwa shughuli za kitalii.

Tembelea tovuti yetu inayopatikana kupitia www.tiketiyangu.com kwa maelezo zaidi. Unaweza kutuandikia ujumbe mfupi kwa barua pepe info@tiketiyangu.com na unaweza kufanya booking kwa kututumia ujumbe mfupi ukitwambia wapi unataka kusafiri na lini utasafiri. Tutakutafutia usafiri mzuri kwa ajili yako kwa gharama ile ile inayotambulika na SUMATRA (Kwa Tanzania)

Kwa booking unaweza pia kutuandikia barua pepe kupitia booking@tiketiyangu.com

Unaweza kupiga simu moja kwa moja kwa ajili ya Booking au maelezo/maswali au maoni kwa namba ifuatayo +255 625 528326

 

Sasa unaweza kununua tiketi ya basi lolote popote pale ulipo. Unachotakiwa kufanya ni kupiga +255 625 528326 nasi tutakuwekea siti yako. Malipo yote yanafanyika kwa simu (TIGO PESA, M-PESA, AIRTEL MONEY)

KARIBU TIKETIYANGU TRAVEL AGENCY

Read More